HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

14 December 2012

Le chanteur Monsiuer olomide atia wino dar



Mwanamuziki kutoka Jamhuri ya Kidemocrasia ya wa Congo  DRC-Congo, Koffi Olomide akitia saini moja ya bango lenye kampeni inayowatahadharisha madereva wa magari kunywa pombe kupindukia, ikiwa ni hatari kwa afya na usalama wao kwa ujumla pichani kulia ni Mkurugenzi wa kampuni ya bia ya Serengeti Bwa.Steve Gannon akishuhudia tukio hilo aidha katika tukio hilo Wanahabari mbalimbali walishuhudia tukio hilo ndani ya hotel ya Serena Inn mapema leo mchana.
Koffi Olomide na kikosi  chake cha   Quartie Latin wametua jana jijini Dar kwa ajili ya maonesho yao mawili yatakayofanyika jijini Dar ndani ya viwanja vya Lidaz Club,Kinondoni siku ya jumamosi na jijini Mwanza kwenye uwanja wa CCM-Kirumba siku ya jumapili kwa udhamini mkubwa wa kampuni ya SBL kupitia bia yake ya Tusker Lager

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers