HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

9 December 2012

Mwamuzi Wolfgang Stark AOMBA RADHI UJERUMANI


Mabingwa watetezi wa  ujerumani Borussia Dortmund's  wamepata kipigo ambacho hawakukitegemea jana  baada ya kutandikwa mabao matatu kwa mawili walipofungwa nyumbani na   Wolfsburg.

 Vijana hao wa  Jurgen Klopp's ambao wapo  katika nafasi ya tatu   ,na wakiwa  wanatafuta taji la tatu mfululizo huku wakiwa alama 14 nyuma ya viongozi wa ligi hiyo    Bayern Munich.
walifungwa jana katika 
Mechi iliyoingia Dosari katika dakika ya   35th  pale mwamuzi  Wolfgang Stark alipomwadhibu  Marcel Schmelzer akidhani amaeunawa mpira japokuwa katika picha za marejeo ya runinga ilionekana mpira ulimgonga mguu
Stark alimtoa nje mlinzi huyo wa  Dortmund na kuizawadia penati timu pinzani ambayo ilifungwa na   Diego na kuipatia timu yake bao la kusawazisha  1-1.

"Nilitazama picha za runinga baadaye na kugundua kuwa nilifanya makosa  nimewaambia wanahabari na nisingependa itokee tena penati na kadi nyekundu hazikuwa sahihi naomba radhi  kwa hilo ninaamini haitajirudia.

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers