HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

9 December 2012

MANCHESTER DERBY NI HATARI 3-2 KWA WAGENI



Robin van Persie's Amefunga goli kwa faulo katika  dakika za majeruhi na kuipa  manchester united uongozi wa alama sita katika ligi kuu ya uingereza huku ndugu zao City  wakiwa katika nafasi ya pili katika ligi hiyo

 Wayne Rooney  alimalizia mpira uliomshinda   Joe Hart na kuipa united goli la uongozi  .

 Rooney aliunganisha tena krosi ya  Rafael's na kufunga goli la pili lakini kipindi cha pili   Yaya Toure alifunga goli  maridadi na kuirejesha city mchezoni  .

 Pablo Zabaleta alikung'uta shuti na kuisawazishia city zikiwa zimesalia dakika tatu mpira kumalizika bado ya kosa kosa baada ya kona iliyopigwa na zabaleta  lakini faulo ya  Van Persie's ambayo iliguswa na Samiri Nasri  wa city ilimshinda kabisa hart na kuipa ushindi united wa mabao  matatu kwa mawili   .

 Aidha goli hilo  lilisababisha matatizo makubwa mara baada ya Rio Ferdinad kupigwa na kitu kisichofahamika usoni . 



 Ilikuwa ni afueni kwa united ambao walikatariwa goli muda mchache baada ya  Toure's kusawazisha  .

 sasa city inafungwa mechi ya kwanza msimu huu na mechi ya kwanza nyumbani kwao

 Rooney amefunga mabao kumi katika mipambano  ya timu hizo zinapokutana rekodi inayomfanya kuwa juu ya nguli wa soka wa manchester united   Sir Bobby Charlton 

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers