HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

13 December 2012

Sao Paulo YAPATA USHINDI WA BURE

Wachezaji wa Klabu ya soka ya  Sao Paulo ya Brazil  na klabu kutoka   Argentina's Tigre's wakigombana Mara baada ya  Kipindi cha kwanza kumalizika kwenye fainali ya  kombe la  Copa Sudamericana  iliyochezwa huko  Sao Paulo, Brazil, jana jumatano  

Timu ya soka ya Sao Paulo ya Brazil imepewa ubingwa kombe la  Copa Sudamericana usiku wa kuamkia leo baada ya kutokea vurugu ndani na nje ya kiwanja baada ya timu kutoka Argentina Tigre  kugoma kucheza kipindi cha pili  cha mkondo wa pili wa fainali hiyo ambao huchezwa kwa mfumo wa nyumbani na ugenini  


Maafisa wa Tigre wamesema wachezaji wao walivamiwa na maafisa usalama wakati wa mapuumziko katika vyumba vya kubadilishia nguo baada ya kutokea kutokuelewana mara baada ya kipindi cha kwanza kumalizika  .

Kocha wa  Tigre  Nestor Gorosito alikuja kuwaeleza Wanahabari wakati wa mapuumziko Mlinda mlango wa wetu alinyooshwa  silaha kifuani   kwenye chumba cha kubadilishia nguo tumeamua kutokucheza tena hiki ni  moja ya kielelezo kuwa wanausalama hawajatutendea haki 


"Hatuchezi tena ."
Mwamuzi  Enrique Osses kutoka  Chile aliipatia ushindi   Sao Paulo baada ya kusubiri kwa muda wa dakika 30 kuisubiri  Tigre kurudi uwanjani  .

Timu hizo mbili zilizozana baada ya nusu ya kwanza kumalizika Runinga kutoka Argentina  ilionyesha picha kuwa kulikuwana ugomvi ambao haikuweza kufahamika kwa mara moja chanzo kilikuwa nini lakini ilionekana wazi vurugu zilikuwa kubwa .

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers