HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

13 December 2012

Waziri wa Habari akutana na Mkurugenzi wa Kituo cha Mpango wa Vijana wa nchi wananchama wa Jumuiya ya madola Kanda ya Afrika


Waziri wa Habari Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akiongea na Mkurugenzi wa Kituo cha Mpango wa Vijana wa nchi wananchama wa Jumuiya ya madola Kanda ya Afrika Bwana James Douglas (kulia) kuhusu rasimu ya Katiba ya Baraza la Vijana wa Jumuiya hiyo alimpotembelea ofisini kwake leo hii.  .

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers