HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

13 December 2012

NIDHAMU YA MUWEKA NJE MTOTO WA PELE KIKOSI CHA GHANA




Jordan Ayew Ameachwa katika kikosi cha wachezaji  25 cha  Ghana’s ambacho kitacheza mashindano ya mataifa ya afrika ambacho kimetajwa Mchana  wa leo  -

Mkufunzi mkuu wa timu hiyo  Kwesi Appiah ameataja kikosi  hicho leo jijini  Accra alipokutana na waandishi wa habari .

Kama ilivyotegemewa Kiuongo wa , AC Milan  Sulley Muntari bado yupo katika uangalizi wa baada ya kuanza mazoezi hivi karibuni  .

Ni kweli kama mlivyosikia katika fununu kuwa  Jordan Ayew ameachwa kwa sababu za kinidhamu na sio za kimpira .

Wachezaji hawa wawili tunawaacha katika kambi tutakayoweka kule Abu Dhabi Mwezi ujao na tutazama nini cha kufanya Tarehe  9 January 2013 ambapo ni tarehe ya Mwisho ya uwasilishaji vikosi vitakavyoshiriki michuano ya mataifa afrika .

Ghana ipo Kundi  B Pamoja na  DR Congo, Mali na  Niger.

Kikosi Kamili 

 Makipa : Adam Kwarasey (Stromsgodset, Norway), Fatau Dauda (AshantiGold, Ghana), Daniel Adjei (Liberty Professionals, Ghana)

 Mabeki : John Paintsil (Hapoel Tel-Aviv, Israel), Harrison Afful (Esperance, Tunisia), Mubarak Wakaso (Espanyol, Spain), Richard Kissi Boateng (Berekum Chelsea, Ghana), John Boye (Rennes, France), Jonathan Mensah (Evian, France), Isaac Vorsah (Red Bull Salzburg, Austria), Jerry Akaminko (Eskisehirspor, Turkey), Rashid Sumaila (Asante Kotoko, Ghana), Awal Mohammed (Maritzburg United, South Africa).

 Viuongo : Andre Ayew (Marseille, France), Christian Atsu (FC Porto, Portugal), Anthony Annan (Osasuna, Spain), Derek Boateng (Dnipro, Ukraine), Emmanuel Agyemang Badu (Udinese, Italy), Kwadwo Asamoah (Juventus, Italy), Albert Adomah (Bristol City, England), Rabiu Mohammed (Evian, France)

 Washambuliaji : Asamoah Gyan (Al Ain, UAE), Emmanuel Clottey (Esperance, Tunisia), Richmond Boakye Yiadom (Sassoulo, Italy), Yahaya Mohammed (Amidaus Professionals, Ghana)

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers