HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

14 February 2013

DRC YAITAKA AFCON 2019


 http://www.safaricom.co.ke/sakataball/uploads/pics/wilberforce.jpg


Congo alishindwa mbele ya  Morocco mwaka jana ambao sasa wataandaa Mashindano  2015 huku Libya ikipokonywa haki za kuandaa mwaka  2013 na , badala yake kupewa afrika kusini baada ya kupata matatizo ya kisiasa   2017.




 Jamhuri ya Kidemokrasia ya watu wa kongo imepereka maombi ya kuwania kuandaa fainali za mataifa ya afrika kwa mwaka Afcon 2019 , Kwa Mujibu wa Taarifa iliyotolewa  na Waziri wa Michezo wa Nchi hiyo  Baudouin Banza Mukalay Nsungu, .
“Nchi yetu ni moja ya waombaji wanaowania kuandaa fainali hizo za mwaka  2019 Afcon ,”  .


“ Nawapa jukumu hili chama cha soka cha congo  Fecofa (Congolese football federation), ambao wanatambulika na CAF  ( Confederation of African Football). Tunataka kuwa wazi , ambapo tutakuwa watulivu zaidi .

Hii ni hatua moja kubwa kwa taifa hili lilipo afrika ya kati na magharibi na itakuwa heshima kwao kwani hawajawahi kuandaa mashindano hayo japokuwa wamewahi kushinda mara mbili kikombe hiki   — 1968 na  1974.
Japokuwa  May 2012, Senegal ilionyesha ni ya kutaka kuandaa mashindano ya mwaka   Afcon 2019 .


No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers