HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

13 March 2013

HAKUNA LISILO WEZEKANA KATIKA SOKA MILAN NJE TENA KWA AIBU KUBWA

Barcelona v AC Milan
Barcelona imeisimamisha dunia kwa baada ya kufanya lile ambalo watu hawakutarajia na kupata ushindi wa kihistoria katika ligi ya mabingwa barani ulaya ikiwa na deni la bao mbili iliweza kusawazisha magoli yote na kufunga mengine mawili na kutoka na ushindi wa mabao manne kwa sifuri na kuisukuma  AC Milan nje ya ligi ya mabingwa barani ulaya na kuifanya Barca kutinga hatua ya robo fainali  .
 Barcelona v AC Milan
  Vijana wa Catalunya hawakupoteza muda baada ya kufunga goli katika dakika ya tano tu ya mchezo pale Lionel Messi alipoachia bakola safi ndani ya mita  ishirini raia huyo wa Argentine alisawazisha tena goli la pili baada ya kuukokota mpira na kuachia mkwaju kimo cha paka na kuisaidia timu yake kwenda mapumziko wakiwa sare kwa matokeo ya jumla  .
David Villa alifunga bao la tatu baada ya kutengnezewa pasi maridadi  na   Xavi lakini badae  Jordi Alba alihitihimisha ushindi kwa Barca na kuitoa na ushindi kwa bao la nne  .
Barcelona v AC Milan

Barcelona

  • 01 Valdes 02 Alves  03 Pique 18 Alba 06 Xavi 08 Iniesta 10 Messi 14 Mascherano (Puyol - 77' ) 16 Busquets 07 Villa (Sanchez - 74' ) 17 Pedro Booked (Adriano Correia - 83' )

Substitutes 13 Pinto05 Puyol  21 Adriano Correia  04 Fabregas  25 Song  09 Sanchez

  •      37 Cristian Tello

AC Milan 

32 Abbiati05 Mexes Booked   17 Zapata  10 Boateng Booked  16 Flamini Booked (Bojan - 75' )  18 Montolivo   20 Abate  21 Constant   23 Ambrosini (Muntari - 60'    92 El Shaarawy  19 Niang (Robinho - 60' )

Substitute   01 Amelia   02 De Sciglio  25 Bonera   04 Muntari   08 Nocerino   07 Robinho  22 Bojan

Ref: V Kassai
Att: 96,000

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers