HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

14 March 2013

UINGEREZA NA SOKA YA MAGAZETI SASA KUITAZAMA LIGI YA MABINGWA KWENYE TV


Arsenal boss Arsene Wenger 

 Kwa mara ya kwanza katika miaka kumi na saba uingereza imeshindwa kuingiza timu katika hatua ya  robo fainali ya ligi ya mabingwa ulaya huku Chelsea ,Man u, Man city na ndugu zao Aresnal kushindwa kabisa kufuzu hatua inayofuata  .

Arsenal' ambayo wiki tatu zilizo pita ilikung'utwa na Munich  nyumbani bao tatu kwa moja na  imetolewa licha ushindi ambao haukutosha ugenini wa mabao mawili kwa bila  ,
Olivier Giroud's alifunga goli katika dakika  ya 3 ya mchezo na kufunga goli lake la  15 katika mismu huu baada ya kuuunganisha klosi kutoka kwa   Theo Walcott's ,goli lililoashiria siku njema kwa arsenal   . 

Olivier Giroud

Mlinda mlango wa Arsenal  Lukasz Fabianski alijitahidi kufanya kazi nzuri na kuzuia michomo kadhaa iliyopigwa na arjen Roben  Laurent Koscielny's alifunga goli kwa kichwa akiunganisha kona iliyopigwa na Cazora lakini halikusaidia kwa muda ulikwisha umeshamalizika .

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers