HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

26 April 2013

CHANETA YA DUNIA YABADILI JINA


 


Shirkisho linalosimamia mchezo  wa mpira wa pete duniani  (IFNA) limebadili jina na sasa litajulikana kama  shirikisho la kimataifa la mpira wa pete
Shirikisho hilo lenye makazi yake makuu huko umoja wa nchi za kifalme limesema lipo kwenye kipindi cha mpito katika kuuboresha mchezo huo ambapo kitaongeza mchezo mwingine ujuliakan nao kama
  Fast5 na michezo mingine ya kimaendeleo

Shirikisho hilo limesema kuwa mabadiliko ya jina hilo kutoka  IFNA hadi  INF ni kuliweka shirikisho hilo kwa ukaribu na vyama vingine vya michezo duniani ,  Aidha shirikisho hilo limesema hata nembo ya kampuni hiyo imebadilishwa na nembo ya sasa itakuwa inaashiria uongozi zaidi tofauti na hapo mwanzo na lengo kubwa ni kubadili muonekano wa mpira wa pete .

katika nembo hiyo ya sasa inaonyesha mikono inayoshikilia mabara yote sita na kuyaleta pamoja katika mchezo wa mpira wa pete  ".

Nembo hiyo mpya itazungushwa katika mabara yote kuashiria kuwa nembo mpya imeanza kufanya kazi .

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers