HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

15 May 2013

Albert Sokaitis kutoka Marekani kuanza kufundisha makocha wa kikapu dar


 

Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tanzania (TBF)  limemtangaza Albert Sokaitis kutoka Marekani kama mkufunzi wa kunoa makocha wa mchezo huo nchini na timu ya taifa ya kikapu huku mkufunzi huyo akisema kuwa lengo lake kuu ni kusaka vipaji vya mchezo huo wenye wapenzi wengi nchini kwao.

Rais wa TBF, Musa Mziya amesema kuwa mkufunzi huyo ataanza kwa kutoa mafunzo katika kanda ya Dar es Salaam wakati akiangalia mazingira kabla ya kuingia nao mkataba, ambao wanafikiri kuwa wa miaka miwili.


Akifafanua kuhusu mipango yake, Sokiatis amesema kuwa atakuwa na jukumu la kufundisha makocha na kusaka vipaji vya mchezo huo huku akiwatafutia wachezaji nafasi za kuonyesha vipaji vyao nje ya mipaka ya Tanzania.

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers