HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

12 May 2013

AZAM FC YAIKAMATA NAFASI YA PILI YAIPIGA MGAMBO JKT TATU BILA CHAMAZI, KIPRE AFANYA KWELI


 
Timu ya soka ya azam fc imejihakikishia nafasi ya pili baada ya kuifunga Mgambo jkt katika mechi ya ligi ya vodacom Tanzania Bara kwa kuibamizaa mabao matatu kwa bila mabao ya azam yamefungwa na John Bocco Adebayor ,Jorkings Artudo ,aidha Kipre Tchetche amefunga bao lake la kumi na saba katika ligi hiyo ya Vodacom kwa maana hiyo Azam fc inafaikisha Alama 51 katika nafasi ya pili huku Yanga ambao ni mabingwa wa ligi ya Tanzania Bara wakiwa wana alama 57 baada ya michezo ishirini na Tano huku simba ikiwa katika nafasi ya tatu na alama 45 ambapo hata kama watawafunga wapinzani wao Yanga jumamosi ijayo wataendelea kusalia nafasi ya tatu na hawata pata nafasi ya kushiriki michuano ya kimataifa na kuziacha Azam fc Na Yanga kushiriki mashindano ya kimataifa huku yanga wao wakiwa wanashiriki klabu  afrika na Azam fc wakiwa wanashirki mashindano ya Kombe la shirikisho barani afrika .

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers