HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

12 May 2013

KWAHERINI JAMANI NAWASHUKURU SANA KWA MCHANGO WENU TUPO PAMOJA .

Sir Alex Ferguson

"Stand up for the Champions" Hii ni nyimbo ambayo mashabiki walikuwa wakiimba katika dimba la OT walipokuwa wakimuaga Rasmi kocha wa Manchester united Sir Alex Ferguson .
Old Trafford 
Mashabiki walijibu kwa kunyanyua bendera zilizokuwa zimeandikwa jina la mkufunzi huyo .
Sir Alex Ferguson
"Hivi Ndivyo  Old Trafford ilivyolipuka baada  Sir Alex Ferguson kuingia kiwanjani akisindikizwa na Muziki  "Ambao wanasema ndoto iliyokuwa ngumu kuwezekana sasa imewezekana." wakiendelea kuimba na Mabango yaliyoandikwa  "Sir Alex Ferguson. Amefanya yote kuwezekana."







Sir Alex Ferguson
"Fikiria Kocha kama huyu . Ferguson katika hari kama hii Amemaliza miaka 26 Old Trafford ameshinda ambayo yameleta raha sana na mishangao .
"Ni mtu ambaye ana mbinu nyingi , Kwakeli hayajawahi kufanyika haya ,ninaimani kuona jambo hili lipo moyoni mwake na inaonekana anafurahia hili "
 Sir Alex Ferguson akitia saini majarida kadhaa ambayo anapewa na mashabiki.
Sir Alex Ferguson 
 
  1. Ni mamia ya watu wakimpigia kelele wakitaja jina lake " Sir Alex Ferguson"x3 katika uwanja  Old Trafford. na yeye anakubaliana na mashabiki kwa kuwajibu kwa kuwapungia mkono .
    Sir Alex Ferguson
  2. Sir Alex Ferguson

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers