
Rafael Nadal Ametwaa taji la Tano katika mashindano saba tangu aliporejea kutoka majeruhi na ameshinda taji la tatu la Madrid Masters baada ya kushinda kwa set 6-2, 6-4 Dhidi Stanislas
Wawrinka Leo Jumapili .
Nadal, ambaye kwa sasa anashikilia Takwimu ya kumshinda Mpinzani wake Mara tisa 9-0 kutoka uswisi aliongoza set mbili za kwanza ndani ya nusu saa .
Na baada ya mpinzani wake kuonyesha uwezo wa kukomaa
Wawrinka aliongeza bidii katika set ya pili lakini , Nadal Aliendlea kuongoza hadi kufikia set 4-3 na kujinyakulia taji la 23rd Masters Series .
Nadal sasa ana mataji 55 katika maisha yake ambapo mengine yanamfuata katika siku 40 na bado hajayacheza .
"Kiukweli nina furaha sana na ushindi huu na wa muhimu sana ukizingatia na nilipotokea kwenye Majeruhi ." - Rafael Nadal |
"Kiukweli nina furaha sana na ushindi huu na wa muhimu sana ukizingatia na nilopotokea ," .
"Msimu uliopita ulikuwa mgumu na kucheza kwangu ilikuwa ni ndoto .
"Hii ni hari nzuri zaidi nimekuwa nayo katika mechi .
"Nafikiri hii imekuwa mechi ya kuvutia ambayo nimeweza kucheza vizuri na nashukuru kwa watazamji kunisapoti imekuwa rahisi kwangu
No comments:
Post a Comment