HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

12 May 2013

Xavi Hernández AVUNJA REKODI UISPANIA

 
Xavi Hernández Amendelea kuvunja rekodi nchini uispania katika soka ya kulipwa baada ya kushinda ligi mara saba akimzidi mkufunzi wake wa zamani wa timu hiyo  Guardiola na kumfanya kuwa mchezai pekee kwa sasa wa   Barcelona kushinda makombe mengi zaaudi lakini  Josep Guardiola, akiwa kama mchezaji alishinda mataji sita na meigine matatu akiwa kama  (manager wa timu hiyo).

 samba samba na  Xavi, kuna  Cesc Fábregas, ambaye ndio kwanza ameshinda taji la kwanza la ligi msimu  , japokuwa ana maisha marefu zaidi kama mchezai wa kulipwa .lakini alianza kucheza soka mara ya kwanza akiwa na miaka ,  16½, akiwa na  Arsenal, japokuwa alikumbwa na ukame wa makombe katika klabu hiyo ya London ., japokuwa hakucheza hata mechi moja akiwa  Barcelona mwaka 2003-04, Fábregas alipokea medali akiwa na klabu yake hiyo ya zamani na ya sasa . 

kwa  Xavi, hili ni taji la  24th tangu alipoanza kucheza  mechi yake ya kwanza  18th August 1998, Dhidi ya   Mallorca katika  Spanish Super Cup. na hili ni la   24 na kumfanya  Xavi kuwa mchezaji kutoka usipania kuwa na mataji mengi zaidi akiwa ameshinda mataji Tangu mwaka  (1999, 2005, 2006, 2009, 2010, 2011 na 2013); na makombe mawili ya kombe la Mfalme ; 3 ya ligi ya mabingwa Barani ulaya ; 2 ya klabu bingwa ya dunia  2Ya mataifa ya ulaya , sasa anakauwa amewapita 
,  Bakero (2  Real Sociedad na  4  Barcelona); Guardiola na  Julio Salinas (2  Bilbao na  4  Barcelona).

Na ni taji la saba pia kwa Eric Abidal,ambaye ameshinda matatu akiwa na  Olympique de Lyon kabla hajatua na Barcelona,ambapo ameshinda mengine manne  .

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers