HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

7 June 2013

ARSENAL HAINA MZAHA KWA ROONEY GAZIDIS


 

Kuna tukio la aina yake katika soka ya ulaya :tena katika klabu ya  Arsenal, tukio ambalo linaonekana kama la mzaha kwani klabu ya Arsenal inathibitha kuwa ipo tayari kuushutua Ulimwengu wa soka katika maswala ya soko la  uhamisho kwani klabu ya arsenal inaonekana kama haina mzaha ,na ni jambo ambao lipo kwenye ubongo wa mtendaji mkuu wa arsenal  Ivan Gazidis, wa klabu hiyo ambayo ipo  London  , Tuna amini kuwa tunaweza kusajiri mchezaji mwingine na sio zaidi mwingine bali ni Wayne Rooney ambae yupo kwenye mawindo ya arsenal .

"Kama  Arsene anafikili kusajiri majina makubwa ndio suluhisho  [Tutafanya hivyo]. kwani mwaka huu tunaona tunafanikiwa kufanya yale ambayo tulikuwa tume ya panga kufanya miaka iliyopita , jambo ambalo linawezekana katika uchumi wetu kwa sasa", Gazidis alilimbia gazeti la  Daily Mirror.
"Tunaweza kutazama maswala Mmbadala ambayo yalikuwa nje ya uwezo wetu na yatakuwa ni muendelezo wa misimu ijayo . na faida kwa  klabu ",  .

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers