HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

1 June 2013

BALOTELI ATOA MKWARA HUU :UKIRUDIA UTAONJA UCHUNGU WA MACHOZI YA MAMA YANGU


Why always him? Mario just says no to drugs 

Mario Balotelli Ameshika vichwa vya habari wiki hii ,pale mshambuliaji huyo wa italia alipotuhumiwa kuhusika na biashara ya mihadarati akihusishwa na Genge la Kimafia .
Mchezaji huyo kivutio na mchezaji wa zamani wa   Man City man wiki hii jina lake lilitafutwa lilmulikwa na  wauza madawa ya nguli wa  Camorran likiongozwa  Armando De Rosa, ambaye anakili  Balotelli alimuuliza biashara hiyo kwa utani katika mashtaka yake ya kutumia pesa chafu   .
Hivi karibuni alitumia mtandao wa kijamii wa  Twitter aidha  Balotelli alijibu kwa kusema alikasirishwa katika mtandao huo ,nakutwiit : 'Labda ukiomba radhi bila hivyo utayaonja uchungu wa machozi wa mama yangu ujumbe ambao ulifutwa badae .
Tuhuma hizo zilikuja baada ya ushindi dhidi ya  San Marino ijumaa usiku  ,lakini mshambuliaji huyo alikataa na kusema na kusema : "Ni uongo . Na nayachukia Madawa."
Aidha akiulizwa na mashabiki kwa aina ya ushangiliaji wake kwanini kila siku wewe aliwajibu sijui  'Why always you?', 'I don't know.'

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers