HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

1 June 2013

NEYMAR: WACHEZAJI WA UINGEREZA SIO WA KUSHINDA KOMBE LA DUNIA NI VILABU TU NA SIO TIMU YA TAIFA

Ney Chance: Neymar has written off England's World Cup hopes 

Mchezaji nyota wa kimataifa wa Brazil  Neymar ameiondoa uingereza kama timu inayoweza kushinda kombe la dunia mwakani litakalo fanyika Brazil  .
Mchezaji huyo wa  Santos ambaye anaondoka msimu huu na kujiunga  Barcelona anajiandaa na mchezo wa kirafiki dhidi ya timu inayoongozwa na  Roy Hodgson's katika Dimba la Maracana kesho jioni  .
Japokuwa amekubali uingereza inawachezaji wazuri lakini akasema wamefanya vizuri kwenye klabu zao na sio timu ya taifa ,Aamini kama wanauwezo wa kushinda michuano mikubwa kama hiyo  kwani wanapocheza katika timu ya taifa hawachezi kama vilabuni .
Akizungumza na Gazeti la The Sun, Neymar : "Nina heshimu wachezaji wa uingereza wamejitahidi sana katika vilabu vyao  ."Lakini katika timu ya taifa, siitazamii uingereza kabisa na nadhani watakwenda kuwa mdebwedo kabisa katika kombe la dunia.
"Tunataka kushinda kombe la dunia mbele ya mashabiki wa nyumbani na timu ambazo hazitakuwa Mdebwedo ni uispania na Ujerumani .
"Baada ya hapo natazama kundi la timu aina ya  Argentina, Holland, Italy na timu nyingine moja au mbili zaidi . Lakini Uingereza siifikilii kabisa "

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers