HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

12 August 2013

MOURINHO AMLETA ETO'OO LONDON BURE


Kocha wa Chelsea  Jose Mourinho anataka kuungana mchezaji wake wa zamani  Anzhi ya urusi  Samuel Eto'o.

Gazeti la  Daily Star limesema  Mourinho anaonekana kutaka kuushtua ulimwengu kwa kumsainisha  Eto'o - kama  Chelsea itashindwa kumchukua Wayne Rooney.

Vijana hao kwa jina la utani The Blues walikuwa na uhakika wa kumsainisha mshambuliaji wa kimataifa wa Uingereza  Rooney kutoka kwa wapinzania wao  Manchester United.

Lakini ligi ya mabingwa ulaya ikiwa karibuni timu hiyi imesha sisitiza kuwa haitauza mchezaji yoyote huku Mmiliki wa chelsea  Roman Abramovich Hayuko Tayari kutoa kiasi kikubwa cha pesa kumnunua mchezaji huyo mwenye miaka  27yrs.
 
Na hiyo imeonyesha wazi kuwa Mourinho atamgeukia mshambuliaji mwenye uzoefu wa kutoka  Cameroon  Eto'o. ambapo wawili hao ni marafiki Tangu walipokuwa wakifanya kazi pamoja  Inter Milan

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers