HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

12 August 2013

Wayne Rooney's 'MZIMA WA AFYA KOCHA WA TIMU YA TAIFA UINGEREZA Roy Hodgson


England manager Roy Hodgson (left) and Wayne Rooney (right) during training


Kocha wa timu ya soka ya taifa ya uingereza Roy Hodgson anategemea kuwa mshambuliaji wake Wayne Rooney ataweka matatizo ya klabu yake pembeni katika mechi ya kirafiki dhidi ya uskochi jumamatano ijayo . Kuna fununu nyingi kuhusu mustakbari wa mchezaji huyo katika klabu yake ya 
Manchester United na kijana huyo mwenye miaka 27-amekosekana katika mechi za maandalizi katika ziara ya united kutoakan na majeruhi .
 
"Akiri yake imetulia," Anasema  Hodgson. "anaweza kuitumikia klabu na timu ya taifa ,Kitu ninacho tegemea kwa wachezaji wote.
"Wachezaji hawawezi kuleta matatizo ya timu zao  kwenye timu ya taifa ."
Aliongeza : "Kama wangekuwa na matatizo kwenye timu ya taifa vile vile hawawezi kuyapeleka kwenye klabu zao ni vitu viwili tofauti .
"Nina tegemea wachezaji wakija , hapa [Kujiunga na timu ya taifa na alihudhiria mechi   moja ya maandalizi ya msimu ambayo haikuhudhuriwa na Mashabiki Dhidi ya  Real Betis - katika kujiandaa na  msimu mpya wa ligi 2013-14 .

Amekuwa akisumbuliwa na matatizo ya msuri na Bega,huku Manchester united ikiwa imekataa offa mbili kutoka  Chelsea kwa mshambuliaji huyo anayeonekana hajatulia. 

Rooney, amecheza mechi  83 akiwa na timu ya taifa ya uingereza na amefunga magoli  36 ,na hakuwemo kabisa katika mchezo wa Ngao ya hisani dhidi ya  Wigan katika Dimba la Wembley siku ya Jumapili, Japokuwa amefanya mazoezi yote na timu ya taifa ya uingereza Leo hii . 

Na ,alipoulizwa je Rooney atakuwa tayari kucheza mechi hiyo , Hodgson : "Nadhani.
"Tutaona Jumanne itakavyokuwa baada ya mazoezi ya jumatatu  Kwa sababu inaweza kuwa hatari zaidi kwani hajakaa sawa tangu apate majeruhi .
"Kama kuna tatizo ,na akafanya mazoezi vizuri   , Tutazungumza naye na kufanya maamuzi .
"Kama aanze au aingie baadae , na tutakuwa tayari tunajua na tunatumaini kuwa atakuwa tayari  [Katika mechi za kufuzu kombe la dunia ]Mechi zitakazo anza Mwezi Kenda na  October." 

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers