HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

28 June 2014

BRAZIL YATINGA ROBO FAINALI YAIPIGA CHILE KWA PERNATY(SIKIZA PENATI )


 Waaandaji wa Michuano ya Kombe la Dunia Brazil wametinga Robo fainali ya Michuano ya Kombe la Dunia na kuwa timu ya kwanza kutinga robo fainali katika mashindano hayo,Mara baada ya kuindoa Chile katika mashindano hayo baada ya kuishinda kwa mikwaju ya Penati ambapo matokeo yamekuwa tatu kwa mbili

.

Mauricio Pinilla na  Alexis Sanchez ndio walikosa peanati , kabla ya  Gonzalo Jara kukosa Penati ya Muhimu .

Katika mchezo wenyewe , David Luiz aliipatia  Brazil Goli la uongozi baada ya Thiago Silva kuuparaza Mpira na kuunganisha kona iliyopigwa na  Neymar'.

Chile walisawazisha Baada ya Eduardo Vargas kuokoa Mpira vibaya na kumfanya goli ambapo mlinzi wa chile  Alexis Sanchez kusawazisha . 


Aidha Brazil's ilipata Goli lillilofungwa na  Hulk lakini lilikatariwa katika kipindi cha pili huku mwamuzi msaidiz kutoka Uingereza   Michael Mullarkey kuhukumu mpira ulishikwa kabla ya kufungwa Goli

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers