HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

1 July 2014

ARGENTINA YACHUPA NANE ROBO YAIBAMIZA USWIS GOLI USIKU

Argentina score

Angel Di Maria's amefunga Goli katika dakika za Nyongeza na kuipeleka Argentina katika hatua ya robo fainali ya michuano ya kombe la dunia inayoendelea Nchini Brazil na huku ikicheza mpira ambao haukuvutia sana katika mchezo huo wa kumi na sita  fanali Dhidi ya Switzerland. 

Mabingwa hao mara mbili waliumiliki mchezo huo kwa kiasi kikubwa , Lakini walishindwa kufunga goli katika dakika za kawaida Hadi pale  Di Maria alipounganisha pasi kwa ustadi kutoka kwa Lionel Messi's . 

Mlinzi wa Switzerland  Blerim Dzemali alipiga mpira wa kichwa uliokwenda kugonga mlingoti wa Goli la Argentina Baada ya  Di Maria's  kufunga goli la ushindi  . 

Argentina sasa itakumbana na Belgium au  USA katika Robo fainali ya michuano ya Kombe la Dunia jumamosi.

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers