HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

19 July 2014

CANAVARO:KAMA NIDHAMU HUNA KWA MAXIMO HUCHEZI(SIKIZA SAUTI)

Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Nadil Haroub (Canavaro) amesema kocha mpya wa Klabu ya soka ya Yanga  Mbrazil Marcio Maximo ni mkali na Hana masihara katika swala la Nidhamu na amewahasa wachezaji wenzake wawe makini kuhusu Nidhamu kwani Kocha huyo hana Mzaha na amemsifu sana na Kusema Bila Maximo yeye asingefika Alipo sasa .No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers