HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

20 July 2014

James Rodriguez ATUA Madrid KWA DAU LA £63million TOKA MONACO

View image on Twitter 


James Rodriguez amewasili Katika uwanja wa Ndege wa Barajas huko  Madrid akiwa anajiandaa kujianga na Real Madrid ya Uispania .

Mkolombia huyo   -Alikuwa akiichezea klabu ya  Monaco - akiwa anatokea kwenye Michuano ya Kombe la Dunia baada ya kung'aa na timu ya taifa ya Colombia akifunga Mabao sita.

Tangu hapo amekuwa akihushswa na kuhamia Klabu maarufu Dunia na wanaotumia pesa Nyingi Duniani yenye maskani yake katika uwanja wa  Bernabeu, Huku   Manchester United Ikiwa nayo imevutiwa na Huduma ya Mchezo huyo .

 Mabingwa hao wa Ulaya walipata hoja ya Nguvu kwani juma lililopita Gazeti  moja la UiSpania lilikaririwa likisema kuwa Real na Monaco wamekubaliana na kulipana Dau la  £63million.

Na sasa inaoneka kuwa kuna uwezekano mkubwa wa Kiungo huyo kuhamia Madrid na ameonekana katika uwanja wa Ndege wa Barajas huko Madrid.

Mapema alionekana kuondoka katika jiji la  Medellin akielekea Uispania na mjadala ukionekana Kufungwa .
MColombian alijiunga na   Monaco kwa  £38million mwaka jana na ameonekana kupanda Bei mara baada kufanya Vizuri katika Michuano ya Kombe la Dunia.

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers