HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

25 July 2014

MAXIMO BILA BARUA HATUCHEZI KAGAME(MSIKILIZE AKIONGEA)Kocha mkuu wa klabu soka ya Yanga amesema hawatoshiriki michuano ya Kombe la Kagame mpaka watakapopata Barua Rasmi ya Mwaliko kutoka Katika  Baraza la vyama vya soka Afrika Mashariki na kati CECAFA akizungumza katika Mazoei ya Timu hiyo katika shule ya Sekondari ya Loyola iliyopo mabibo Marcio Amesema kwa sasa anajiandaa kwa Kila kitu bila kujari watashiriki au kutoka shiriki michuano hiyo.

Aidha amewapasha wachezaji wenye Majina  kuwa wasitegemee majina yao kuwa yatawabeba katika klabu hiyo na Badala yake wajikite katika mazoezi ndipo atakapochagu wachezaji hata katika michuano ya Kombe la Dunia timu zilizotegemea Mchezaji Mmoja mmoja hazikufua Dafu katika soka mwaka huu .

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers