HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

6 July 2014

Tim Krul AINYIMA COSTA RICA RAHA AKAMATA PENATI (SIKIZA PENATI BBCSWAHILI)

Netherlands v Costa Rica
 
 
Tim Krul amekuwa shujaa wa uholanzi akitokea kwenye Benchi na kucheza kwa dakika moja tu baada ya kuingia kwa kazi ya kucheza penati na ameokoa penati  na kuisaidia Netherlands kuifunga   Costa Rica kwa mikwaju ya penati na sasa watakwaana na Argentina.
Krul aliokoa penati zilizopigwa na  Bryan Ruiz na Michael Umana na kuivusha Uholanzi . 

Mchezo huo ulimalizka kwa kutokufungana kati ya timu hizo katika dakika mia moja na ishirini , Huku  Wesley Sneijder akigongesha Nguzo za Goli mara Mbili wakati   Robin van Persie jitihada zake za kutafuta Goli zikiishia kwenye kugongesha Nguzo za Goli .
  Uholanzi sasa wanakutana na Argentina kwenye nusu fainali ,ambao waliwafunga wa belgiji katika mechi ya mwanzo  . .

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers