HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

1 August 2014

SHABAN KISIGA ARUDI SIMBA KWA MWAKA MMOJA ,ISMAILIA YACHOMOA SIMBA DAY (SIKIZA SAUTI)

Klabu cha soka Cha Simba chenye maskani yake mtaa wa Msimbazi umewasainisha wachezaji wawili watakao itumikia klabu hiyo ya simba katika msimu wa ligi kuu .

Wachezaji waliosajiriwa ni pamoja na mchezaji wa Zamani wa Timu hiyo Shaban Kisiga aliyekuwa akiitumikia Mtibwa sugar ya Morogoro akitokea Nje ya Nchi kabla ya kusaini Mtibwa  na Elias Magoli alikuwa akiichezea Ruvu Shooting 
Makamu wa rais wa simba Gofrey Nyange Kaborou ndiye aliyewatambulisha .
Aidha kwa upande kiungo aliyerejea simba Shaban kisiga amesema yeye yupo simba kwa ajiri ya kuitetea simba ,

 
Aidha mshambuliaji mpya wa Timu hiyo Elias Maguli hakupishana sana na Kisiga naye alikuwa na haya ya Kusema 

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers