HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

1 August 2014

YANGA NUSU PEMBA,NUSU RWANDA MAXIMO KWENDA PEMBA,LEO KIGALI OKWI NA KIIZA MASHAKANI.(SIKIZA SAUTI LIVE TOKA LOYOLA )


Timu ya soka ya  Yanga inatarajia kujigawa katika mafungu mawili ikiwa inajiandaa na ligi kuu soka Tanzania Bara ambapo kwa Mujibu wa Kocha wa Timu hiyo Mbrazil marcio Maximo amesema yeye kwa sasa lengo lake kuijenga Timu kwa ajiri ya Ligi kuu Tanzania na sio michuano ya Kagame ambayo hadi sasa amesema bado hajaiwekea umaanani lakini akasisitiza kuwa Badohajaweza fanikiwa  kuona nani atamfaa zaidi katika michuano hiyo, ukizingatia kuna wachezaji ambao wapo timu ya taifa na wengine bado hajawaona kama kiiza na Okwi .

Aidha amesema kuwa yeye atabaki na baadhi ya wachezaji ili Aende nao Pemba na Baaadhi watakwenda Rwanda na kocha wake msaidizi Leo.
 BOFYA


No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers