HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

4 April 2009

NYILAWILA KUZIPIGA NA MAUGO APRIL 24 DDC MAGOMENI KONDOA

Kabla sijaelezea zaidi pambano hili la ngumi ngoja nikueleza swala moja ambapo nilipata kushuhudia kwenye mikanda ya video lakini lilifanyika miaka ya numa kidogo kule kwenye muungano wa mataifa ya America namaanisha USA nilipata kuana Prees conference moja ikimuusisha the greatest Causis clay(Mohamed Ally) joe frazier wakichapa kabla ngumi moyoni nikasema kweli wale ni mahasimu wa mchezo wa ngumi ama masumbwi Naa ijumaa ya tarehe tatu iliandaliwa press conferences kati ya K,GYM ikishirikana na KIKAE PROMOTER Karama Nyilawila na Mada Maugo katika uzito wa kati (MIDDLE) mabondi hao walifika habari maelezo wakiwa na mapromoter wao Karama Nyilawila yeye alikuwa chini Shomari Kimbau na Mada Maugo yeye alikuwa chini Kaike siraju na mshindi wa pambano hili atapambana na Francis Cheka . kaike siraju na shomari kambau wakizungumzia pambano la ngumi kati ya Karama Nyilawila na Mada Maugo katika ukumbi wa idara habari Maelezo Ndipo Mada maugo alipopandisha mzuka na kuanza kurusha maeneno na kuanza kuinuka kwenye kiti huku akimnyooshea kidole Karama Nyilawila ndipo ilpozuka taflani ukumbini hapo yaani na maaanisha zilitaka kupigwa kavukavu na mkuutano ulipokufa ghafla, lakini vyombo vya habari vivyokuwepo ukumbi hapo vilimtaka Mada Maugo awaeleze kwa kina nini kilimsibu yeye mpaka aachana na shomari kimbau. Mada Maugo akizungumza kuhusu pambano hilo katika ukumbi wa idara habari maelezo Haya ndiyo yaliyo toka kinywa kwa Mada Maugo kuwa wakati akiwa na shomari kimbau alimlazimsha abebe madawa ya kulevya swala ambalo yeye akukubaliana nalo “shomari kimbau anauza madawa ya kulevya na hivi sasa ninazungumza nanyi nyumbani kwake kuna wa Zimbabwe watatu amabao wapo kwa shughuri hiyohiyo hiyo ndiyo sababu kubwa ambayo imenifanya mimi niachane naye Mada alikuwa akiongea kwa uchungu sana kwa mujibu wa Mada huenda ikawezekana kuwa kuna ukweli ndani yake na inaweza kuleta maafa baaade kwa kuna wanamichezo na viongozi ambao kwa sasa wapo gerezani kwa sababu kama hizo za kuuza madawa ya kulevya. Karama Nyilawila akitoa tambo kwa msisitizo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari idara habari maelezo. Kama unavyowezakuona Mada Maugo akishndwa kuvumilia tambo hasa ukizingatia ya kwa prometers wa karama ndiye mbaya Maugo. Hapa ndipo MaUGO alipokuwa akiaanika waziwazi jinsi shomari kimbau kuwa ni muuza madawa ya kulevya ukiangalia anaonekana na hasira Tukiachana na hayo siku hiyo ya pambo kutakuwa na pambanom la utangulizi kama utakvyo yaona hapo chini. JOSEPH MARWA v/s ASHRAF SULEIMAN BENSON MWAKYEMBEv/s MBARUKU HERRY SHABAN MADILU v/s FADHIL MAJIA Ubingwa wa FLYING TPBC IBRAHIM STAR BOY v/S JAFARI MAJIA”MR NICE” FRNCIS MIYEYUSHOv/S SADIK MOMBA AMOUR MZUNGU(ZNZ)v/S RAMADHAN KIDO KICK BOXING SHEMBOKO v/s BENA SAMWE “DAME” SAID CHIPWIDI v/s ABRAHAM KASELE “SMG” Kazi kwenu wana masumbwi nina amini itakuwa gumzo.

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers