HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

5 April 2009

WANA LESENI KWELI HAWI!!!!!!!!!!!!!!!!

Ndugu zangu moja kati ya usafiri amabao umekuwa gumzo katika jiji la dar es salaa ni usafairi wa pikipiki yenye matairi matatu aina ya bajaj ambao umekuwa maarufu sana kwa sababu kubwa kwaunarahisha hasa wakati foreni ndio usafiri unaolekea kupendwa zaidi lakini jambo moja ambalo linatakiwa kuangaliwa kwa umakini ni kwa kumekuwa na matukio mengi ya ajari tukio la mwisho kubwa lilihusisha gari ya waziri wa zamani waSerikali ya awamu ya tatu Andrew change kugongana na bajaj. lakini swala kubwa ambalo linanishangaza ni kuona waandeshaji wengi ambapo pindi huwalizapo kuhusu leseni majibu yao yanaweza kujaa kwenye sinia wengine hunishangaza kabisa kwa kusema kuwa wamewaachia leseni zao kwa mabosi wao hili si jambo la kawaida moja kati ya mambo ambayo nimeweza kushuhudia kuona watu mbalimbali wakijifunza kuendesha magari ya aina mbalimbali kwa shule maalum za magari hapa jijini lakini sikupata kuona watu wakijifunza kuendesha pikipiki pengine inawezekana kuwa ukipata leseni ya gari inakuwezesha kuendesha na BAJAJ pia. lakini vipi wale ambao hawajui kundesha gari na wanaendesha bajaj je wakitaka kutafuta leseni ya bajaj aendeshe gari. Kwa upande mwingine BAJAJ zimejaa sana hapa mjini kiasi kwamba zimekuwa nyingi kiasi kwa watumiaji nao wamekuwa wengi na madereva wa BAJAJ hizo huendesha gari kwa fujo sana na kwa kuwa BAJAJ hizo ni ndogo kiumbo huwapa jeuri ya kukatisha au kupita popote watakapo yamkini ipo haja kuanza kukagua leseni hizi wengi wa madereva usingizia wanaacha kwa matajiri wao je kisheria unapokuwa na kifaa cha moto barabarani yapaswa kuwa na leseni yako mfukoni kama amna askari wa usalama barabarani wanachukua hatua gani kudhbiti waendesha BAJAJ kiholela. La mwisho kabisa usafiri huu umezua uhasama kati ya madereva taksii na madereva BAJAJ kwa madereva wa taksi wanasema wanatumalizia Abiria tukiacha hayo nina imani kunatakiwa kuwa na usimamizi mzuri wa kukagua BAJAJ kwani tusipoangalia tunaweza kupoteza watu wengi zaidi yamkini serikali inapaswa kuangalia upya swala hili. picha hiii inaonyesha jinsi maji ambavyo hujaa wakati mvua nakuzuia shuhguri zote bar iliyopo sehemu hiyo na hospitari nakuzuia njia kuleka hospital ya masana iliyopo maeneo ya samaki barabar ya bagamoyo.

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers