Mambo vp mnaiona milima ya usambala morogoro hii ndio urithi tulio achiwa na
mababu zetu hii ndio morogoro aliyoiimba mmbaraka mwishehewakati huo nadhani unaweza kusema wakati wa mwalimu
milima inayo beba sifa kubwa ya morogoro yenye kutiririka kutoka kwenye vilele vya milima hiyo maji ya huwa baridi
Nadhani unaona ilivyo pendeza!!!!
No comments:
Post a Comment