Haijawahi kutokea kwa waziri anayehusika na michezo nchi hii kutembelea vilabu vikubwa vya soka nchini namaanisha watani wa jadi Simba na Yanga lakni Joel Nkaya Bendera amemaliza kwa kutemblea vilabu hvyo nguli Nchini
Naibu waziri wa habari utamaduni na michezo Joel Nkaya Bendera akiwa katika Mazungumzo na Mwenyekiti wa Klabu ya Simba Hasan Dalali Katika makao makuu ya Klabu ya Simba pale Msimabazi
Waziri bendera anapongea mbele ya Wandishi wa Habari huku akiwapa ukweli viongozi na kuwapa changamoto kufika pale ambapo klabu nyingine za afrika zimefika.
Hapa sasa Tupo jangwani huyo anaye kunywa maji ni katibu mkuu wa shilikisho la soka tanzania TFF Fredirick Rameck Mwakarebela pembeni yake ni Lucas kisasa pia ni kiongozi katika klabu ya Yanga.
Hapa Mh waziri kafika Jangwani na anakaribishwa na mwenyekiti wa yanga IMANI MADEGA
Hawa ni kati ya washabiki na wanachama wa klabu ya yanga waliofika kumsikliza mh Waziri
Imani madega mwenyekiti wa klabu ya yanga akimuonyesha MH bendera sehemu ya kugeshea magari wachezaji wa yanga
Mwekiti wa yanga akiwa ameshikilia suti yake ambayo inaonekana ni ya bei mbaya hapo alikuwa akimwomba aongee na wanachama wa Mh naibu waziri Bendera
Hapa ndipo alipoanza kuwambia ukweli wa mpira unavyoendeshwa duniani na akawapa na mawazo mapya ilikungalia maendeleo ya klabu
Hapa sasa unaweza kumuona mh Bendera anasaina baadhi ya vyeti vya marefaree kutoka kwa katibu mkuu eugine mwasamaki hayupo pichani na ofisi ni ya kufanyia press confrence katika klabu ya yanga
Hii ni sehemu ya juu ambapo wachezaji watakuwa wakipumzika baada ya mechi kuna vivuli ambavyo huwezi kuviona vipo nyuma yangu
Mwenyekiti wa yanga Imani madega akimwonyesha naibu waziri wa habari michezo na utamadu Joel Bendera moja kati ya ofisi za makatibu muhtasi wa klabu ya yanga.
Naam unaona waziri bado yupo fiti sasa hapa alikuwa kwenye Gym ya klabu ya yanga akijaribu kuonysha uwezo wake katika ziara alaiyoifanya klabu ni hapa leo hii.
NDUGU ZANGUNI SIMBA NA YANGA HUU NDIO WAKATI KWANI WAZIRI AMEWAPA HESHIMA ITUMIE NI ILITUFIKE MBALI ZAIDI.
TUACHE POLOJA TUTENGENEZE SOKA
No comments:
Post a Comment