Mshambuliaji wa timu ya taifa ya ujerumani Mirolsav klose amesisitiza kuwa wapinzani wao katika nusu fainali ya kombe uispania wanafungika bila matatizo ,na amesistiza kuwa DIE mannschaft wameboreka zaidi tangu wakutane katika fainali ya katika fainali ya kombe la ualya mwaka 2008 anasema tutawaonyesha udhaifu wao amewambiwa wandishi wa habari.
No comments:
Post a Comment