mlinzi wa klabu ya Barcelanoa Gerard Pique amesema Nyota wa klabu ya arsenal cesc Fabregas anataka kujiunga Nou Camp Msimu ujao ,ni kitu ambacho anahisi anataka kufanya ,' mchezaji huyo wa kimataifa wa uispania amenukuriwa akaitaka kujiunga vinara hao wa Nou cam kwa muda mrefu sasa
No comments:
Post a Comment