HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

13 August 2010

HASHEEM THABIT DAY TWO TRAINING

Hasheem anapotoa mafunzo ya mpia kikapu ya ukweli lakini hivi pekee bado anahitaji msaada lakini  pengine watu wapo jimboni ndio maana wamemsahau.
mpira unashikwa namna hii uspo shika hivi na usipo ukamata hivi huwezi kufunga hata kaidogo kwani kiufunga vile unashika yaani kama ungekuwa ni kuongea unatumia body language sasa ukinitazama ninavyotaka kuurusha unaona kabisa kwamba mwili wangu unakwenda kutokana na mpira.

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers