HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

10 October 2010

Maroc 1 stars 0

Kijana wa kitanzania anayesakata soka ya kulipwa nchini canada vancuover whitecaps akijaribu kuwatoka mabeki wa timu ya taifa ya moroco katika mchezo ulioisha kwa tanzania kufungwa nyumbani na moroco goli moja kwa bila lililofungwa elhamdaoui dakika ya 43 kipindi cha kwanza katika uwanja wa taifa jijini dar es salaam mgeni rasmoi alikuwa rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania Jakaya mrisho kikwete lakini nyimbo za taifa ziligoma kucheza baada ya cd hizo kugoma na zikachezwa kabla ya kipindi cha pili

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers