Makamu mwenyekiti wa Klabu ya simba Godfrey Nyange Akimkabidhi jezi Mrisho Khalfan Ngasa baada ya kusajiriwa kwa kucheza timu hiyo Hadi 2014 |
Kama ni mfuatilia mzuri wa historia ya mpira na Tanzania ni vigumu mtu kubusu jezi ya Dar es salaam young africans na kuhamia simba ghafla akitoea Azam fc mchezaji huyu wa zamani wa yanga alikataa kuhusu usaili wake wa kwenda Simba alipohojiwa na Radio one stereo katika kipindi cha sport kinakwenda hewani saa moja na nusu usiku katika uhalisia wa kawaida inawezekana mpango huu ulikwisha fanyika siku nyingi kuwa anatakiwa kwenda simba lakini ikawa vigumu kumtoa yanga moja kwa moja ni vigumu sio rahisi na sio kwa mkopo kwa wanaopenda soka ya ulaya ni Vigumu mtu wa Liverpool kwenda Everton japokuwa wapo wachezaji waliosajiriwa kwa mfumo huo ulaya lakini kwa usaili huu wa mrisho Ngasa waingereza wanasema JOB DONE
No comments:
Post a Comment