Klabu ya soka ya Arsenal ya uingereza imempongeza mshabiki wa timu hiyo raia wa uingereza Mo Farah kwa kushinda medali ya dhahabu katika mbio za mita 10,000 ambao ulikuwa usiku mzuri kwa waingereza kijana huyo mwenye mika 29 ambapo alikimbia kwa dakika 27 sekunde 30 nukta 42 mshabiki huyo wa kutupwa wa arsenal alitembelea katika kiwanja cha mazoezi na kwenda katika uwanja wa emiratse kuonyesha Nishani yake ya dhahabu Aidha klabu yake ya arsenal ilimjibu hivi kwenye tovuti ya arsenal
No comments:
Post a Comment