Mwenyekiti wa klabu ya yanga yusph manji akiapishwa na moja katika ya wazee wa baraza mbele ya Mama Fatma Karume |
MKE wa
rais wa kwanza wa Zanzibar, Hayati Abeid Amaan Karume, Mama Fatma Karume
leo amwaapisha viongozi wapya wa Yanga, waliochaguliwa Julai 15, katika
uchaguzi uliofanyika ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam.
Walioapishwa katika zoezi hilo lililofanyika makao makuu ya klabu, makutano ya Mitaa ya Twiga na Jangwani ni Mwenyekiti Yussuf Manji, Makamu wake, Clement Sanga na wajumbe watatu, George Manyama, Aaron Nyanda na Mussa Katabaro, wakati Abdallah Bin Kleb yuko kwa majukumu ya klabu mjini Kigali, Rwanda, yeye ataapishwa baadaye.
Aliyekuwa akiwaapisha viongzi ni Mwenyekiti wa zamani wa Yanga, Dk Jabir Idrisa Katundu, ambaye pia Mjumbe wa Baraza la Wazee la klabu.

Mama fatuma karume akimpa mkono wa kheri mwenyekiti wa klabu ya yanga yusuph |
Good luck Young afrcans
No comments:
Post a Comment