Aidha kocha wa Newcastle Alan
Pardew, wao wataanzia Ugenini dhidi Atromitos,ambao wao walimaliza nafasi ya nne katika ligi kuu ya Ugiriki Greek Super
League Msimu uliopita
Hii itakuwa mara ya kwanza kwa Newcastle united tangu 2007 kushindana katika michuano ya ulaya mara ya mwisho walifungwa na vijana wa kiholanzi AZ Alkmaar.
Hii itakuwa mara ya kwanza kwa Newcastle united tangu 2007 kushindana katika michuano ya ulaya mara ya mwisho walifungwa na vijana wa kiholanzi AZ Alkmaar.
katika pambano jingine Motherwell watacheza na klabu ya uispania Levante wakati Red star wamepangwa kucheza na Francis Gillot's Bordeaux baada ya kuwafunga Cypriot club AC ya Omonia 6-5 katika mapigo ya pernaty .
Internazionale ya iltalia ambaonwalipata ushindi wa mabao matatu kwa mawili ya ushindi wa ujumla dhidi Hajduk Split watakumbana na timua kutoka Romanian minnows FC Vaslui, wakati club Bursaspor ya uturuki ambayo ilishinda 6-0 Dhidi KuPS Kuopio katika uwanja wa Bursa Ataturk Watakwaana na Vijana wa Steve McClaren's FC Twente.
No comments:
Post a Comment