Timu ya soka ya Udinese ya italia itakuatana Liga Sagres Braga katika kufuzu hatua ya makundi michuano ya ligi ya mabingwa barani ualaya msimu 2012-13 katika hafla iliyofanyka mchana wa leo leo huko Nyon uswis Aidha timua nyingine kutoka Ujerumani Borussia Monchengladbach watakwaana na Dynamo Kiev, wakati Malaga itavaana na Panathinaikos kutoka ugiriki
Timu kutoka Urusi Spartak Moscow itakabiliana na Fenerbahce ya uturuki , wakati mabungwa wa mwaka 2010-11 Ligue 1 Lille watakuwa wanawasubiri katika uwanja wa nyumbani Copenhagen ya Denmark.
Timu kutoka Urusi Spartak Moscow itakabiliana na Fenerbahce ya uturuki , wakati mabungwa wa mwaka 2010-11 Ligue 1 Lille watakuwa wanawasubiri katika uwanja wa nyumbani Copenhagen ya Denmark.
Braga | v | Udinese | |||
Spartak Moscow | v | Fenerbahce | |||
Malaga | v | Panathinaikos | |||
Monchengladbach | v | Dynamo Kiev | |||
Lille | v | Copenhagen |
Katika Timu zilizo twa ubingwa nchi mwao lakini zinacheza hatua ya kufuzu Celtic watacheza na Swedesh Helsingborgs, wakati wabeligi Anderlecht watavaana Cypriot mabingwa wa AEL Limassol.
Basel v CFR Cluj
Helsingborgs
v Celtic
BATE
Borisov v Hapoel
Kiryat Shmona
AEL
Limassol v Anderlecht
Dinamo
Zagreb v Maribor
Mechi za mzunguko wa kwanza zitachezwa tarehe 21/22, mwezi huu wa nane na mechi za marejeano zitacheza wiki moja inayfuata 28/29 .
No comments:
Post a Comment