Mlinda mlango wa marekani Hope solo akishangilia goli baada ya Carli Loyd kufunga goli katika kipindi cha kwanza.
2 vs 1
Carli Lloyd Jezi namba kumi akifunga goli kwa kichwa katika kipindi cha kwanza dhidi ya japana katika fainali ya mashindano ya olimpick mchezo ulichezwa kwenye uwanja wa wembley jijini london .
No comments:
Post a Comment