Makamu Mwenyekiti
wa kamati ya ligi kuu Tanzania Wallace karia amesema kamati ya ligi katika mfumo mpya
wa kampuni utaanza rasmi msimu huuu ambapo rais wa shirikisho la kandanda Tanzania
tff Leodgar Chila Tenga ndiye atayefungua chombo ilikianze kazi mara moja aidha
amesema kamati hiyo itasimia mambo ya udhami ni lakini mpira kama mpira
utaendelea kuingozwa na shirikisho la soka kandanda la Tanzania lakini kitakachobadirika ni uendeshwaji wa
ligi ambao ndio uatakaosimamiwa na hicho chombo kwa maana hata wanapokwenda
kwenye kutafuta Udhamini huwa wanaenda
na baadhi ya maofisa wa shirikisho la soka la kandanda la Tanzania ambao ndio
baba wa mpira Tanzania amesema katika Habibu za rejea zinasema kuwa kwa sasa
chombo hicho ndicho kitasimia ligi kwa maana ya uendeshaji.
No comments:
Post a Comment