Lionel Messi na Cristiano Ronaldo watapambana tena katika kuwania tuzo ya uchezaji wa ulaya ,Mchezaji bora wa mwaka jana Lionel Mesi ameungana na Andres Iniesta na Mchezaji wa Real Madrid ambapo ronaldo anaingia kwenye orodha ya wanaowania wachezaji bora kwa mara ya pili mfululizo
Ambapo mshindi atatangazwa Tarehe 30 mwezi wa nane Monaco nchini siku ambayo Ratiba ya michuano ya klabu bingwa hatua ya makundi itapangwa.
Andrea Pirlo na Xavi Hernandez ambao mwaka hawakuwemo kwenye orodha hiyo Messi ambaye ni mshindi wa tuzo ya tuzo ya sasa ya
Fifa Ballon d'Or 2011,
alikuwa mshindi wa moja moja kwa wa ubora wa ulaya ambapo alipata kura 39 Xavi alipata 11 wakati Ronaldo alipata kura 3
No comments:
Post a Comment