Katibu Mkuu wa klabu ya yanga Mwesigwa Clestine |
Klabu ya soka ya yanga yenye Maskani yake mitaa ya twiga na Jangwani imetoa taarifa kuwa itakuwa inafanya Vikao vya kamati ya utendaji Mara nne kwa mwezi katibu mkuu wa timu hiyo Mwesigwa Celestine amesema lengo la kukaa kila mwishoni mwaka wiki nikujadiri maswara ya maendelea ya klabu hiyo kwani kwa kipindi kifupi wameweza kupata ofa za watu mbalimbali katika kuwekeza katika klabu hiyo na usikuu anaratajia kupokea wageni katika uwanja wa kimataifa wa ndege wa Mwalimu Nyerere ambapo wageni hao wanakuja kwa lengo la kufanya mazungumzo ya kiuwekezaji katika klabu ya yanga.
No comments:
Post a Comment