HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

9 August 2012

Ngorongo Heroes Yaondoka leo Kwenda Nigeria

Kocha wa Ngorongoro Heroes akumuelekeza jambo Adolf Rishard .  
Timu ya soka ya taifa ya vijana chini ya miaka ishirini imekwea pipa leo kuelekea Nigera kucheza mechi ya Marejeano Dhidi ya Wenyeji Nigeria katika kutafuta nafasi ya kufuzu michuno ya mataifa ya afrika yatakayo fanyika Nchini Algeria mwakani  timu hiyo inahitaji ushindi wa Goli mbili bila ili ifuzu hatua inayofuata kwani katika mechi ya kwanza iliyofanyika katika uwanja wa taifa timu hiyo ilifungwa na Nigeria magoli mawili kwa moja na hivyo kuipa faida nigeria ya magoli mawili ya ugenini Kocha mkuu wa timu Jakob Michelsen amesema watanzania wasihofu kwani hata Nigeria wanaiogopa Tanzaia Ndio maana wameamua kuongeza wachezaji wao watano wakulipwa ni jambo la faraja kuona timu kama Nigera inaiogopa Tanzania na ni faraja kwa kwetu pia kwa kuogopewa na timu kubwa kama hiyo afrika ni hesmima kubwa kwa Tanzania kusema hakuna lisilowezekana. Aidha kwa upande wake Adolf Rishard Ambaye kocha msaidiza wa timu amesema wamfanya marekebisho kadhaa ambayo yaliwagharimu kwenye Mechi ya kwanza na amesema wameyafanyia kazi na hakunakisicho wezekana katika mpira wa miguu.kwani makosa madogomadogo. 

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers