Eric Abidal (R) of FC Barcelona scores his sides second goal past Ricardo Carvalho of Real MadridEric Abidal of Barcelona Beki wa kushoto wa Barcelona na Timu ya taifa ya Ufaransa Eric Abidal, ambaye anaendelea vizuri na kujiuguza baada ya kufanyiwa ukanzi katika Ini Mwezi wa April anatarajiwa kurejea kiwanjani  Mwezi Disemba mwaka huu Mganga mkuu aliyemshugurikia tatizo hilo amethibitisha
"Hakuna tatizo ama sababu itakayonifanya nisirejee kiwanjani .kama kasema kuwa anarudi mwezi Disemba njia i wazi  ," Mganga huyo anayefahamika kwa jina la  Carlos Garcia-Valdecasa amesema hayo leo ijumaa katika mahojiano yaliyo  chapishwa na kipindi cha michezo cha kila siku cha Michezo cha Barcelona .Hatuwezi kutabiri lakini anaendelea vizuri
"kwa mambo yanavyokwenda sasa atakuwa na matatizo kidogo tu ya kitabibu hatuwezi jua nini kitatokea lakini atakuwa sawa siku za usoni
Mwanzoni mwa wiki hii kocha wa Barcelona  Tito Vilanova alimjumusiha  Abidal katika kikosi cha watu 25 kitakachoshiriki michuano ya mabingwa barani ulaya japokuwa  mchezaji anajiuguza na ugonjwa huo wa kupandikzwa ini
Abidal Alifanyiwa upasuaji April 10  mara baada ya kuondolewa uvimbe katika ini lake March 2011 na aliruhusiwa kutoka hopsitali huko Barcelona mwezi May