HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

7 September 2012

RT YAANZA MASHINDANO UT LAKINI HARI SIO NZURI HASA KWA WANARIADHA




 Katibu mkuu wa chama cha Riadha Tanzania  RT, Suleiman Nyambui amesifu baadhi ya mikoa kuleta washindi sahihi watatu wa Mwanzo katika mashindano ya riadha yanayoendelea katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam ,japo kuwa baadhi ya wanariadha walikuwa wakikimbia bila Viatu aidha RT imepata udhamini kutoka Bank ya ABC,TICTS ,TBL na Body ya utalii japokuwa haijaelewa pesa hizo zimekwenda wapi kwani bado baadhi ya  wanariadha walikuwa wakikimbia bila dhana za kukimbilia.
SIKIZA HAPA


No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers