HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

17 September 2012

JE KATI YA TFF NA AFRICAN LYON NANI YU SAHIHI ?



Klabu ya soka african lyon Inatarajia kupereka rasmi utetezi wake  wa kutumia jezi zake ambazo zina chapa ya Kampuni ya simu ya Zantel mara baada ya shikirikisho la mpira wa miguu la tanzania kuizuia timu hiyo kuvaa jezi zenye nembo ya kampuni hiyo kwa kuwa ligi hiyo inadhaminiwa na kampuni ya Vodacom na Hivyo kuwa na mgongano wa kimaslahi kwa mujubu wa msemaji wa african Lyon shelali abdallah anashangazwa kwa kuwa walishawauliza  maafisa wa vodacom kuhusu utaratibu huo na walipewa taa ya kijani katika udhamini huku akikumbusha alama ya msingi kuwa Vodacom Inadhamini Ligi na Zantel inadhamini Timu kama ilivyo kwa Baclaysbank ambayo wao udhamini ligi ya uingereza wa Stansard Chatered wanadhamini Liverpool   
SIKIZA HAPA

Lakini kwa upande wa shirikisho la kandanda kupitia kwa msemaji wake Boniface Wambura Mgoyo amesema kuwa mkataba ulisainiwa ambao hata hivyo unaonekana vilabu huenda vikaugomea unakataa kabisa kuwa na mdhamini  mwenza anayefanya biashara moja sawa na mdhamini mkuu  .
SIKIZA HAPA 



No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers