HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

5 September 2012

MULENGA ASEMA Chipolopolo INATAKIWA KUFANYA KAZI YA ZIADA KUIFUNGA UGANDA



Jumamosi ya Wikii  Hii viwanja vingi katika bara la afrika vitakuwa katika wakati mgumu Kule Zambia katika uwanja wa Levy Mwanawasa katika jiji la ndola Mabingwa wa afrika Zambia watakuwa wakiwakaribisha vijana wa Uganda Cranes Kwa upande wa Zamnbia watakuwa wakimtegea mshambuliaji wao mahiri kutoka uholnazi  na tegemezi Jacob Mulenga ambaye anachezeza mpira wa kulipwa katika klabu ya  FC Utrecht ambaye jumamosi wikii hii atakuwa anarudi nyumbani kuitetea timu yake ya zambia baada ya kuwa majeruhi kwa muda mrefu wakati alipokuwa nje ya timu yake ya zambia ilitwaa kombe la mataifa ya ulaya mulenga alikuwa mfungaji bora  katika mashindano yaliyofanyika Angola mwaka 2010 vilevile alikosa kuhudhuria sherehe za kukabidhiwa kikombe kwa timu yake ya Zambia mara baada ya kutwaa kombe hilo mwaka jana  Gabon na Equatorial Guinea
 AFCON 2012 katika uwanja wa  Stade de l'Amitié 
Mchezaji alipokuwa akihojiwa na tovuti ya shikirikisho la soka africa CAF (cafoonline) Cafonline.com kwa nini unamini kuwa   Zambia inahitaji kufanya kazi ya ziada ilikuifunga Uganda na kuongeza hakuna mechi rahisi hasa katika mashindano ya kimataifa kila timu inacheza ili ikashiriki michuano ya mataifa ya afrika 
Cafonline.com:Je unajiskiaje kurudi tena kwenye kikosi cha zambia baada ya muda mrefu kuwa majeruhi?
Mulenga : Ni vema kurudi imekuwa kipindi kirefu  ninafuraha kurudi tena na kuonana na kila mtu katika timu ya taifa ninatazama mbele hasa wakati huu ambapo nipo kwenye kikosi  na ninaamini kuwa nitakuwa tena kwenye timu wiki hii
Cafonline.com: Zambia haijacheza na Uganda kwenye mashindano ya kufuzu kwa muda mrefu sasa je unaufahamu kiasi  gani kuhusu uganda na nini mipango yako katika mechi hiyo?
Mulenga: Ndio ni muda mrefu sasa na hatujui mengi  kuhusu Uganda lakini katika timu tunanatakiwa kushirikiana kwa lile tunalo lijua kuhusu uganda .Lakini  mkufunzi wetu na Benchi letu la ufundi wamefanya utafiti wa kutosha kuhusu Ugaanda na wanamipango mizuri katika mechi hiyo itakayao chezwa siku ya jumamaosi 
ambayo nina imani tutashinda ni na hakika tutashinda 
 Cafonline.com:Unafikiri nini kitakuwa kitu muhimu kwenu kuifunga uganda siku ya jumamosi ?
Mulenga:Tunatakiwa kufanya kazi kwa bidiii  . tukifanya kazi tunaweza kufanikiwa tutashinda mchezo huo tutaweka kila kitu kwenye mikono ya mwenyezi mungu kuhakikisha tunashinda mchezo huo
 

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers